1 eti Jose ndio pah imewekwa milioni mbili mezani umpige viboko viwili baba yako utampiga šš
2 hapa ndio anatokea jini mtakimbilia wapi šš
3 ukiambiwa ulambe kisu kwenye makali alafu upewe nyumba na gali utakubali šš
4 simba na yanga hizi ni timu za selikari sema tu serikali kali aijionyeshi šš
5 Bakhresa zile pesa zake sio kama mo za kurithi ndio maana m bahili šš
6 yaani sisi watanzania wa shamba sana mambo kama haya ulaya hakuna šš
7 kuchanja sio lazima na wakitaka tuchanje wagawe hela na sio hela tu watununulie na viwanja kabisa šš