Unapoianza safari ya mafanikio yako kitu pekee cha kwanza ni utayari na nidhamu
Jitahidi sana kwenye maisha yako undoe kitu kinachoitwa zarau sababu ukiwa na zarau mafanikio utayasikia tu sababu watu wengi awawezi kuvumilia zarau
pili jitahidi sana kwenye juhudi kwani bila juhudi uwezi fika kokote