1 eti Jose ndio pah imewekwa milioni mbili mezani umpige viboko viwili baba yako utampiga 😁😁 2 hapa ndio anatokea jini mtakimbilia wapi 😆😆 3 ukiambiwa ulambe kisu kwenye makali alafu upewe nyumba na gali utakubali 😆😆 4 simba na yanga hizi ni timu za selikari sema tu serikali kali aijionyeshi 😁😁 5 Bakhresa zileContinue reading “Maneno ya vijiweni”
Author Archives: Namwe Tz
Safari nzuri za kwenda kwenye mafanikio
Unapoianza safari ya mafanikio yako kitu pekee cha kwanza ni utayari na nidhamu Jitahidi sana kwenye maisha yako undoe kitu kinachoitwa zarau sababu ukiwa na zarau mafanikio utayasikia tu sababu watu wengi awawezi kuvumilia zarau pili jitahidi sana kwenye juhudi kwani bila juhudi uwezi fika kokote